Sunday, October 23, 2016

Tamasha la Mziki Mnene la Vodacom latia fora Kimara

 Mashabiki wa muziki wa Singeli wakiweweseka  kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaammwishoni mwa wiki.

Wasanii wa Sigeli wakishambulia jukwaa kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wapenzi wakimbeba msanii wa muziki wa Singeli, Beka Kanali kwenye tamasha lililodhaminiwa  na Vodacom Tanzania la Mziki Mnene katika viwanja vya Raino Kimara jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: