Sunday, May 29, 2016

PICHAZ- Pride Fm Sports Time Ndondo Cup yatia fora Mtwara

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally akipokea cheti kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego, cha kutambua mchango wake katika kufanikisha michuano ya Sports Time Ndondo Cup.


Wakazi wa Mtwara


Naf Band ikiongozwa na mwimbaji wao mashuuri, Wakuziba (wakwanza kushoto) ikitumbuiza katika fainali ya Pride Fm Sports Time Ndondo Cup.


Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma kufuatilia burudani


Mwanadada kutoka Naliendele akionesha ujuzi wa kusakata rumba




Mwakilishi wa mwenyekiti wa kampuni za Kiluwa Steel Company Ltd, Ally Mchokoleka, akipokea cheti cha kutambua mchango wake katika kufanikisha michuano ya Sports Time Ndondo Cup, akichangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha kwa michuano hiyo.


Katibu wa Chama cha Wananchi (CUF) wilaya ya Mtwara, Said Kulaga, akipokea cheti cha kutambua mchango wake katika kufanikisha michuano ya Sports Time Ndondo Cup, kwa niaba ya mbunge wa Tandahimba (CUF) Katan Ahmed.


Wachezaji wa Nice Pesa na Nali Stars wakichuana uwanjani.


Mwanadada wa Naliendele akiyarudi hapo mbele ya mwimbaji wa Naf Band, Wakuziba.


Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akipokea cheti kutoka kwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Mohamed Sinani cha

kutambua mchango wake katika kufanikisha michuano ya Sports Time Ndondo Cup.


Mwakilishi wa timu ya Coco Beach, Mzarubu akipokea cheti cha ushiriki.




Zawadi kwa mwamuzi bora



Zawadi kwa kocha bora


Zawadi kwa timu yenye nidhamu


Miongoni mwa waliofanikisha michuano hiyo Jerry Michael, akipokea zawadi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Mtwara Fatma Ally.


Mwenyekiti wa kamati ya mashindano, Baraka Jamali akipokea zawadi yake kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally.


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Fatma Ally akionesha cheti chake.



No comments: