Saturday, October 8, 2016

'Chura' wa Snura alivyorukishwa Fiesta Mtwara..Wanamtwara wamtaka Kiba stejini.

Mwanamuziki Snura akimchezesha 'Chura' wake ndani ya uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara katika usiku wa tamasha la Fiesta.



Snura akiwachezesha wacheza shoo wake katika steji ya Fiesta 2016 Mtwara


Snura akifanya yake ndani ya Nangwanda Sijaona Mtwara katika usiku wa Fiesta.


'Chura' wa Snura akipagawisha wakazi wa Mtwara ndani ya Fiesta


Hataki mchezo kwenye jambo lake..Snura akiwaimbisha Wanamtwara ndani ya usiku wa Fiesta 2016


Baraka Da Prince naye kawaimbisha Wanamtwara 'Siwezi' ndani ya usiku wa Fiesta 2016 Nangwanda Sijaona Mtwara


Mwanamuziki Dyna Nyange akiwaimbisha wakazi wa mkoa wa Mtwara ndani ya usiku wa Fiesta 2016.

Mwanamuziki Dyna Nyange akifanya yake katika steji ya Fiesta Mtwara

Ben Pol naye si akawaimbisha Moyo Mashine na kuwauzia Mitumba Wanamtwara


Wakazi wa Mtwara wakiipokea kwa shangwe la nguvu Fiesta 2016 ndani ya Nangwanda Sijaona.

Hainaga Ushemeji....Man Fongo na Kisingeli chake ilikuwa balaa usiku wa Fiesta Mtwara


Baraka Da Prince anawaimbisha Wanamtwara na kulisikilizia shangwe lake..Fiesta 2016 Mtwara Imoooooooooooo


Harmonize aliwa surprise Wanamtwara pale alipoibuka stejini Fiesta 2016 Nangwanda Sijaona..

Shoo ya Fiesta Mtwara ilibamba sana lakini hajabu na kweli, Wanamtwara ilionekana wazi walikuwa na kiu ya kumwona Alikiba stejini baadaya kusikika wakipiga yowe la kudai mfalme huyo wa Bongo Flavour apande jukwaani.

No comments: