Monday, October 10, 2016

Wakazi wa Dar na Pwani wafikiwa na Gulio la Vodacom

Wakazi wa Dar es Salaam wakipata maelezo kwenye Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya  Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitoa maelezo kwa wakazi wa Dar es Salaam waliohudhuria Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam .


Wateja wakifurahia simu za smart phone baada  ya kuzinunua kwenye Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam


Gulio la Smart phone lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam lilihudhuriwa na wateja wa rika zote , watoto na wazazi wao kama wanavyoonekana hawa wakazi hao wakiangalia vipeperushi.


No comments: