Friday, September 23, 2016

Wananchi wa Mgau na Kisiwa Mtwara walia njaa kwa kutolipwa fidia.


Juma Mohamed, Mtwara.
Wananchi wavijiji vya Mgau na Kisiwa halmashauri ya wilaya ya Mtwara wanalalamikia uhaba wa chakula kutokana na kukosa maeneo ya kulima hali inayosababishwa na
kutolipwa fidia ya ardhi na mimea katika eneo la hekari 2,500 lililochukuliwa
na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA mkoa wa Mtwara.
Tazama video hapa >>>


No comments: