Sunday, September 25, 2016

Vodacom wakabidhi hundi ya Mil. 7 kwa washindi wa Dance 100% 2016, kundi la Makorokocho

Wasanii wa kundi la Makorokocho wakipokea   mfano wa hundi  ya  fedha  ya
Milioni 7/=  kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa
Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kushoto), ikiwa ni zawadi ya mshindi
wa kwanza wa mashindano yaliyodhaminiwa wa Vodacom Tanzania ya Dance 100% katika  viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki. Makolokocho waliibuka washindi wa Dance 100% kwa mwaka 2016.Kulia ni
Meneja wa Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu.


Wasanii wa Makolokocho wakishangilia baada ya kuibuka washindi kwenye
fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa wa Vodacom Tanzania ya Dance 100%
katika  viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki. Makolokocho waliibuka washindi wa Dance 100% mwaka 2016.


Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (
wa pili kulia) akisaidiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina
Nkurlu, kugawa simu  kwa washindi wa mashindano yaliyodhaminiwa wa Vodacom Tanzania ya Dance 100% katika  viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Makolokocho waliibuka washindi wa Dance 100% 2016


Mashabiki wakiweweseka kwenye fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa wa
Vodacaom Tanzania ya Dance 100% katika  viwanja Vya Don Bosco Upanga jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Makorokocho waliibuka washindi wa Dance
100% mwaka 2016.


No comments: