Friday, September 23, 2016

VODACOM yakabidhi hundi ya Mil. 100 kwa serikali kukabiliana na maafa ya Tetemekeo la ardhi


Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akiwa kwenyepicha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia)  mara baada ya kukabidhiwa  mfano wa hundi yenye thamani shilingi milioni 100= ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu jana Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.


Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akikapokea  mfano wa hundi yenyethamani ya shilingi  milioni 100/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu jana Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Katikati ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao ( wa pili kulia)  akizungumza na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim  Majaliwa ( kushoto) kwenye hafla ya  Kumkabidhi msaada wa shilingi  Milioni 100/= kwa ajiliya kusaidia wahanaga wa  tetemeko la ardhi liliotokea hivi karibuni mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu jana Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.


Waziri Mkuu Khassim Majaliwa ( wa pili kushoto) akimshukuru Mkurugenzi wa  Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia  mara baada ya kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 100/= ikiwa ni msaada  kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya wahanga wa  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu jana Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao


No comments: