Tuesday, September 20, 2016

Vodacom wawezesha zaidi ya wanafunzi 2,000 Lindi kunufaika na ‘Hakuna Wasichoweza’


Na Mwandishi wetu.

Zaidi ya wanafunzi 2,000 wa shule za msingi mkoani Lindi wanatarajiwa kufikiwa na mradi wa Hakuna wasichoweza, unaotekelezwa shirika la T-Marck Tanzania na kufadhiliwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom, ukiwa na lengo la kuwawezesha wasichana kujitambua wakati wa hedhi na kujisitiri.
Tazama video hapa >>>


No comments: