Thursday, September 1, 2016

RC Mtwara aagiza wanafunzi wakike wapimwe Ujauzito baada ya likizo.



Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi wakifuatilia
kwa makini hotuba ya mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego, wakati wa
kupokea madawati kutoka kwa Benki ya Posta Tanzania.

Juma Mohamed, Mtwara.

Serikali
mkoani Mtwara imewataka wakuu wa shule zote za sekondari kuanza utaratibu wa
kuwafanyia vipimo wanafunzi wa kike wanaporejea shuleni baada ya likizo ili
kuwabaini wanaorudi na ujauzito.
Tazama Video hapa >>>

No comments: