Monday, September 5, 2016

PICHAZ-Wadau wa NMB Mtwara wakinolewa juu ya elimu ya biashara.

Burondo Chacha, kutoka Idara ya wateja binafsi katika benki ya NMB akitoa elimu ya bidhaa za benki na akaunti kwa wadau wa benki hiyo wa wilaya za Mtwara na Tandahimba, katika semina inayofanyika katika ukumbi wa Tiffany Diamond Hotel mjini Mtwara.


Baadhi ya wadau wa Benki ya NMB wilaya za Mtwara na Tandahimba mkoani Mtwara wakisikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa wawezeshaji juu ya Elimu ya biashara inayotolewa na benki hiyo.


 'Tunasikiliza'


Wadau wa NMB wakipata elimu ya biashara


Elimu ya biashara za Kibenki kwa wadau wa Benki ya NMB wilaya za Mtwara na Tandahimba.

Wwadau wa NMB wakipata elimu ya biashara.




No comments: