Wednesday, August 31, 2016

Wafanyakazi Micronix Mtwara watuhumiwa kuiba vifaa vya kinga kazini.



Juma Mohamed, Mtwara.

Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Micronix mkoani Mtwara wametajwa kuwa na tabia ya wizi wa vifaa vya kazi vinavyotumika kwa ajili ya
kinga ya usalama wao wakati wa kazi.

Tazama Video >>>>>


   

No comments: