Wednesday, April 11, 2018

MAAFISA HABARI WA MIKOA NA HALMASHAURI WATAKIWA KUBADILIKA KIUANDISHI


Afisa habari wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atley Kuni, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.


Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Joina Nzari, akifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.

Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Lindi Majid Mbale (kulia) akiwa na afisa TEHAMA wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Jitetee Mbonde, wakifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.


Baadhi ya washiriki wakifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.


Afisa habari wa mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha akifuatlia akiwa katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.

Afisa utawala wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Fina Maziku, akiendelea na shughuli zake za kiutawala katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.

Afisa habari wa Wakala ya Serikali Mtandao EGA, Rainer Budodi, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.


Afisa habari wa Wakala ya Serikali Mtandao EGA, Rainer Budodi, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa (hawapo pichani) ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.



Afisa habari wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Jackline Sombe, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.

Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari na afisa habari wa manispaa ya Ubungo, Bornwel Kapinga wakifanya mahojiano ikiwa ni sehemu ya somo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.

Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari na afisa habari wa manispaa ya Ubungo, Bornwel Kapinga wakifanya mahojiano ikiwa ni sehemu ya somo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.


Afisa habari wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Jackline Sombe, akitoa pongezi kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari na mafia TEHAMA wa hamashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara, na kushirikisha washiriki wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam.

Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Newala, Yusuph Stanford akielekeza jambo katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.

Afisa habari wa halmashauri ya wilaya  ya Ruangwa, Mwanaheri Ahmed, akifafanua jambo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.



Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari akifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.


Afisa habari  wa manispaa ya Kinondoni, Martha Kawishe, akifuatlia  mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari.


MTWARA

Maafisa habari wa serikali za mikoa na halmashauri nchini wametakiwa kubadilika katika uandishi kwa kuacha kuandika habari za viongozi pekee na baadala yake wajikite katika kuandika habari zinazowagusa wananchi.

Akizungumza jana mkoani  Mtwara katika mafunzo ya kuwajengea uweo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa mikoa Minne nchini, afisa habari wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atley Kuni, alisema kitendo cha kuandika habari za viongozi peke katika tovuti zao kinawafanya wananchi wajione kama wametengwa na kutoona umuhimu wa kutembelea tovuti hizo.
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya  ya Ruangwa, Mwanaheri Ahmed, akifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.

“Kubwa tunalosisitiza kwasababu hii ipo sehemu ya kipengele kimoja katika masuala ya utawala bora, kwa maana ya kuwashirikisha wananchi..wananchi wanashirikishwaje ni kuhakikisha habari ambazo zinaandikwa sasa zina sawidi ya kile ambacho wanakifanya kwenye maeneo yao..” alisema Atley.

Faith Shimba ni Mshauri wa mifumo ya TEHAMA katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, ambaye alieleza lengo la kuendesha mafnzo hayo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA kuwa ni baada ya tathmini iliyofanywa na TAMISEMI pamoja na PS3 na kubaini mapungufu yakiutendaji kwa maafisa hao.
Mshauri wa mifumo ya TEHAMA katika mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Faith Shimba, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa (hawapo pichani) ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo akiwamo afisa habari wa mkoa wa Mtwara Evaristy Masuha na afisa habari wa manispaa ya Kinondoni, Martha Kawishe, walieleza kuwa mafunzo hayo ytawasaidia kuwajenga kitaaluma sambamba na kuahidi kubadilika katika uandishi wa Tovuti zao.

Mafunzo hayo ya siku Nne yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarshaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, yamejumuisha maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa Minne ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam na Ruvuma.

No comments: