Friday, December 1, 2017

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA YALALAMIKIA KUKUMBANA NA LUGHA ZA MATUSI NA KEJELI KUTOKA KWA WAGONJWA.

Uongozi wa
hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma, umelalamikia vitendo vya baadhi ya
wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kupata huduma kutoa lugha za matusi na
kejeli kwa wahudumu wa hospitali hyo.


Tazama video hii>>>
     

No comments: