Saturday, December 10, 2016

Vodacom yakabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora kitengo cha Biashara

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kushoto) akimkabidhi ngao na cheti, Eunice Kahamba ambaye aliibuka mshindi katika tuzo ya Mauzo ya SYTYCS iliyoandaliwa na kitengo cha biashara (EBU ) cha kampuni hiyo, kwenye hafla ya kukabidhi zawadi jijini Dar es Salaam leo Desemba 9, 2016


Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha biashara (EBU) cha Vodacom Tanzania, wakishangilia huku wakimpongeza mshindi wa tuzo hiyo, Eunice Kahamba ambaye aliibuka mshindi katika tuzo ya Mauzo ya SYTYCS iliyoandaliwa na kitengo hicho, kwenye hafla ya kukabidhi zawadi jijini Dar es Salaam leo Desemba 9, 2016


No comments: