Tuesday, June 5, 2018

MAAFISA UTUMISHI NA WATAALAMU WA AFYA MTWARA WANOLEWA JUU YA UPANGAJI WA WATUMISHI KATIKA VITUO

Kutokana na kuwapo kwa changamoto ya uhaba wa watumishi katika halmashauri mbalimbali mkoani Mtwara ambayo inadaiwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na mrundikano wa watumishi kwa baadhi ya maeneo, Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, ikaamua kuendesha mafunzo kwa maafisa utumishi na wataalamu wa afya, kuwajengea uwezo juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji.

Msahuri wa rasilimali watu kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Zawadi Dakika, akitoa maelekezo kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakifuatilia kwa makini somo kutoka kwa muwezeshaji (hayupo pichani).




Kulia ni mganga mkuu wa wilaya ya Nanyumbu, Dokta Faraji Mwakafwila akiwaelekeza jambo washiri wenzake wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Meneja mradi wa Uimarisha wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 mkoa wa Mtwara, Amina Rajabu, akiteta jambo na afisa Sera wa PS3, Christina Godfrey, katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.




Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakiwa makini katika kutekeleza kwa vitendo yale wanayofundishwa na wawezeshaji wao.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakifuatilia kwa makini somo kutoka kwa muwezeshaji (hayupo pichani).




Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala halmashauri ya wilaya ya Masasi Mohamed Rashid, akiwa na afisa utumishi wa halmashauri hiyo Rehema Machumu, wakielekezana jambo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

 

No comments: