Monday, December 19, 2016

RIPHAT HAMIS AKABIDHIWA HUNDI YAKE YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA


Mkuu wa Masoko na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani,Harrieth Koka(Kushoto)akimkabidhi hundi ya Tsh. Milioni 1/- mchezaji wa Ndanda FC,Riphat Hamis aliyeibuka mchezaji bora wa ligi kuu mwezi uliopita kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu yake na Simba SC hapo jana.Simba ilishinda 2-0(Na Mpiga picha wetu)


No comments: