Tuesday, October 11, 2016

Vodacom wakabidhi zawadi kwa mshindi wa Jiongeze na M-Pawa

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo mkoani humo Jumeo Khamis

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionyesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.

Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter Magina,akionyesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza.

No comments: