Saturday, September 17, 2016

Waandishi wa habari Mtwara waendesha zoezi la usafi hospitali ya rufaa, Ligula


Mwandishi wa Safari Redio, Mtwara, Mwajuma Kitwana akiwa na waandishi wenzake katika usafi wa mazingira Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara, Ligula.

Juma Mohamed, Mtwara

Waandishi wa habari mkoani Mtwara wameungana na wadau wao pamoja na serikali ya mkoa huo katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti na
kuona wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo, Ligula.


Tazama Video hapa >>

No comments: