Baadhi ya wachezaji wa Azam Fc wakipasha misuli katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya wenyeji wao Ndanda Fc. |
Baadhi ya wachezaji wa Ndanda Fc wakipasha misuli katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Azam Fc. |
Ndanda Fc |
Azam Fc |
Azam Fc |
Nusu saa kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ndanda Fc na Azam Fc, katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara, hivi ndivyo ilivyokuwa katika jukwaa kuu |
Jukwaa kuu, Nangwanda Sijaona |
No comments:
Post a Comment