![]() |
| MABINGWA; Yanga na mwali wao |
![]() |
| NAHODHA ALIKUWEPO; Nahodha wa Yanga, ambaye hakucheza mashindano haya alikuwepo kwenye sherehe za ubingwa |
![]() |
| MWANZO MZURI; Beki mpya wa Yanga, Kevin Yondan kwa raha zake |
![]() |
| Wachezaji wa Azam baada ya mechi |
![]() |
| Seif Magari wa kwanza kushoto nyuma akiwa na wachezaji wa Yanga na Azam |
![]() |
| Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto |
![]() |
| Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akisalimiana na Ngassa baada ya mechi |
![]() |
| FOOTBALL; Juma Seif 'Kijiko' akiwa na Said Mourad 'Mweda' kushoto baada ya mechi |
![]() |
| AZAM DAMU; Mrisho Ngassa akiwa amenyoa mnyoo wa jina la klabu yake |
![]() |
| NITAFIA AZAM; Ngassa akidhihirisha mapenzi yake kwa Azam |
![]() |
| PATI LA UBINGWA; Wachezaji wa Yanga, mbele na kipa aliyefanya kazi kubwa katika mechi mbili, Nusu Fainali na Fainali, Ally Mustafa 'Barthez' |
![]() |
| MUITE PIRLO; Athumani Iddi 'Chuji' sasa mashabiki wa Yanga wanamuita Pirlo |
![]() |
| BAO LA PILI; Wachezaji wa Yanga wakiwa wamemlalia Said Bahanuzi 'Spider Man' baada ya kufunga la pili |
![]() |
| Bahanuzi akichuana na Aggrey Morris |
![]() |
| David Luhende akimpongeza Kiiza baada ya kufunga bao la kwanza |
![]() |
| BAO LA KWANZA |
![]() |
| BAO LA KUMALIZA KAZI; Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Bahanuzi baada ya kufunga la pili |
![]() |
| Kiiza akiserebuka na Niyonzima kushoto...nyuma yao ni Bahanuzi |
![]() |
| Nitonzima |
![]() |
| Rashid Gumbo kulia na Erasto Nyoni kushoto |
![]() |
| PATI LA UBINGWA; Wachezaji wa Yanga na mwali wao |
![]() |
| MAFUNDI WATUPU BENCHI; Wachezaji wa akiba wa Azam |
![]() |
| GWARIDE; Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meckysadick akiwa na timu kabla ya mechi |
![]() |
| Meckysadick akisalimiana na kipa wa Azam, Deo Munishi 'Dida' |
![]() |
| Meckysadick akisalimiana na beki wa Yanga, Oscar Joshua |
![]() |
| Barthez akiongoza msafara wa Yanga kuingia uwanjani |
![]() |
| RAFIKI WA KENYA; Nikiwa na rafiki wangu, mwandishi wa tovuto ya Michezo Afrika, Timoth Olobulu kutoka Kenya |
![]() |
| Yanga kwa raha zao; asante wadhamini Azam Cola |
![]() |
| Nikiwa na kocha wa Yanga, Mtakatifu Tom na Kombe la Kagame |
![]() |
| FAMILIA ILIKUJA KUMUANGALIA BABA KAZINI; Niyonzima akiwa na mkewe na mwanawe na Kombe |
![]() |
| Nahodha wa Azam, Aggrey Morris akiteta na Lina Mhando baada ya kupokera Medali yake ya Fedha |
![]() |
| Wachezaji wa Azam baadaya kupokea Medali zao, mbele ni Jabir Aziz na nyuma yake ni Kipre Tcheche |
![]() |
| SPIDER MAN; Mfungaji bora wa Kagame 2012, Said Bahanuzi baada ya mechik akiwa na jezi ya Azam aliyovuliwa na Gaudence Mwaikimba |


































No comments:
Post a Comment