Friday, July 13, 2012

TBL WAKABIDHI JEZI SIMBA NA YANGA KWA AJILI YA KAGAME

 
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wadhamini wa klabu za Simba na Yanga kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo wamekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu hiyo kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inayoanza kesho hadi Julai 28 mjini Dar es Salaam. Shuhudia hafla hiyo ambayo ilifanyika makao makuu ya TBL, Ilala mjini Dar es Salaam ilivyokuwa…

Kaimu Meneja wa Kilimanjaro Beer, Oscar Shelukindo akimkabidhi jezi Meneja wa Yanga, Hafidh Suleiman kushoto

Shelukindo kushoto akimkabidhi jezi Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu'

Wachezaji wa Simba, Paul Ngalema kushoto na Abdallah Juma kulia wakiwa na Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga katikati, kuonyesha mavazi ya klabu zao

Abdallah Juma na Ngalema

Chuji

Kaburu akumuelekeza mambo Shelukindo

Paparazzi kazini

Dina Ismail akichapa kazi

Kaburu akinong'onezana na Meneja Vifaa wa klabu, Kessy kushoto





Thursday, July 12, 2012

CHEKI MASTAA SIMBA NA AZAM WANAVYONG'ARA


NEW GABRIEL; Abdallah Juma


Kipre Ballou

George Odhiambo Blackberry


Deo Munishi 'Dida'

Hamisi Mcha 'Vialli'

Kipre Tchetche

UMOJA WA WA KIGOMA SIMBA SC; Kaseja na Amir Maftah, anakosekana Boban hapa

Mussa Mudde kulia na Obadia Mungusa kushoto

Ibrahim Mwaipopo

Mwinyi Kazimoto


Joseph Owino

Ramadhan Chombo 'Redondo'

Said Mourad 'Mweda'

Salim Kinje

Samir Hajji Nuhu

Felix mumba Sunzu


SAMATTA ATUPIA MAWILI TP MAZEMBE IKIUA 5-0


Mbwana Ally Samatta, jana katika Ligi Kuu ya Vodacom Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliifungia timu yake Tout Puissant Mazembe mabao mawili, ikishinda 5-0 dhidi ya Muungano FC. Mabao mengine ya TP Mazembe yalifungwa na Reinford Kalaba, Nathan Sinkala na Luka Lungu.

No comments: