Friday, January 27, 2017

Simba na Yanga ruksa sasa Uwanja wa Taifa

Uwanja wa taifa

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuufungua uwanja wa taifa ilioufunga kwa muda usiojulikana.
Waziri wa Wizara hiyo Mh. Nape Nnauye alitangaza kufungwa kwa uwanja wa taifa baada ya uharibifu uliotokea wakati wa mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa October 1, 2016.


IMG-20170127-WA0013

SOURCE: shaffihdauda.co.tz

No comments: