Sunday, May 22, 2016

PICHAZ..Wanahabari Mtwara waowana, Ndoa yafana..

Bwana harusi, Adam Juma mwandishi wa Safari Radio Mtwara akiwa na Mkewe halali kabisa Sijawa Omari mwandishi wa gazeti la Jambo Leo Mtwara, katika harusi iliyofanyika leo saa saba mchana nyumbani kwa Sijawa Omari, Mtwara.


Bwana Harusi, Adam Juma, akifungishwa ndoa.


Bwana harusi hapo nafungishwa ndoa


Kina mama waliohudhuria harusi ya Adam Juma na Sijawa Omari


Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally na katibu tawala wake, Edith Shayo walikuwepo kwenye harusi ya vijana wao Adam Juma na Sijawa Omari


Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally, Edith Shayo na Martina Ngulumbi wa TBC Mtwara


Mwenyekiti wa Chama cha Waaandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) Hassan Simba, akitoa mawaidha yaliyowalenga wanachama wake zaidi ni kuwaimiza kuowa.


Bwana na Bibi Harusi wakiwa na mwenyekiti wao Hassan Simba


Bwana Harusi, Adam Juma akiwa amempakata mke wake halali Sijawa Omari


Busu hilo limetua kwa bi harusi Sijawa Omari kutoka mumewe Adam Juma


Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally, akiwa katika picha ya pamoja na bwana na bibi harusi, Adam Juma na Sijawa Omari.


Katibu tawala, Edith Shayo, akiwa katika picha ya pamoja na bwana na bibi harusi.


Huyo hapo dada wa bwana na bibi harusi, anaitwa Martina Ngulumbi, mwandishi wa TBC Mtwara


Mkuu wa wilaya Fatma Ally, akipeana mikono na bi harusi Sijawa Omari


Ikafika zamu ya mwandishi wa Juma News, Juma Mohamed kupiga picha na bwana na bibi harusi..


Mahaba ninyanyue nipeleke kitandani..wallah ndoa 'kunoga'


Mwenyekiti wa MTPC Hassan Simba kushoto akiwa na katibu wake Bryson Mshana wapili kushoto pamoja na Ustadh Atiq na Moses Mpunga


Katibu wa MTPC Bryson Mshana akiwa na wanachama wake, Haika Kimaro, Mwajuma Kitwana na Moses Mpunga



Bwana Harusi, Adam Juma (katikati) akipata mawaidha kutoka kwa Ustaadhi Atiq.

No comments: