Saturday, May 7, 2016

PICHAZ: JKT Ruvu vs Ndanda..Ndanda wako Nyuma mpaka sasa..

Wachezaji wa JKT Ruvu na Ndanda wakipeana mikono kabla ya kuingia uwanjani kuanza mchezo



Wachezaji wa JKT Ruvu na Ndanda wakijiandaa kuingia uwanjani




Kiungo wa Ndanda William Lucian akiondoa mpira katika eneo lake


Nahodha wa Ndanda, Kigi Makassy akipata maelekezo kutoka kwa mwalimu wake, Malale Hamsini.

Mechi inaendelea hapa Mlandizi katika uwanja wa Mabatini, huku wenyeji wakiwa mbele kwa mabao 2-0..mabao yakifungwa na Emmanuel Pius dakika ya Sita na Abdulahman Mussa dakika ya 46..

Mchezo kwa sasa ni wakushambuliana kwa zamu huku Ndanda wakifanya mabadiliko ya kuwatoa Omary Mponda na Riphati Msuya nafasi zao zikizibwa na Buruhan Rashid na Ahmad Msumi..JKT Ruvu wamembadilisha Najimu Maguli aliempisha Samwel Kamuntu..


No comments: