Na Juma Mohamed
WAKATI Juve wakipata pigo kwa
baadhi ya wachezaji wao kuwa majeruhi kuelekea fainali ya Jumamosi katika dimba
la Olympiastadion, mjini Berlin nchini Ujerumani, Barcelona wao wanazidi
kuimarika baada ya kiungo wao mkongwe Andres Iniesta kuanza mazoezi leo asubuhi
kujiweka tayari kwa ajili ya mchezo huo.
SOURCE: UEFA
No comments:
Post a Comment