Friday, June 5, 2015

KUELEKEA FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE-RAKITIC ACHIMBWA MKWARA MZITO NA MKEWE


Get the UEFA Champions League final programme

 

Ivan Rakitic


Na Juma Mohamed

 Haya ndio yaliyozungumzwa na Ivan Rakitic, kuelekea mchezo wa fainali ya champions League… “wachezaji wenzangu wameniambia kuwa wataninyoa nywele zangu iwapo tutafanikiwa kushinda ubingwa..lakini mke wangu hajapendezwa na hilo na kaniambia nikifanya hivyo ataniua..”

No comments: