Dirisha dogo la usajili katika ligi kuu Tanzania Bara lilifungwa rasmi mnamo saa sita usiku wa kuamkia tarehe 16. Siku ya mwisho ilishuhudia klabu za Simba na Yanga zikiwa katika hekaheka za kuhakikisha zinaboresha vikosi vyao tangu kumalizika kwa mchezo wa Nani Mtani Jembe siku ya Jumamosi. Hivi ndivyo usajili ulivyokuwa.
SIMBA:
Waliosajiliwa:
Juuko Murshid
Dan Serunkuma
Simon Serunkuma
Hassan Ramadhan Kessy
Waliotemwa
Pierre Kwizera
Amisi Tambwe
YANGA
Waliosajiliwa:
Amisi Tambwe
Kpah Sherman
Danny Mrwanda
Waliotemwa
Emerson de Oliviera Roque
Gerson Santos
SOURCE: Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment