Kocha Mkuu wa Azam, Stewart John Hall amefungiwa mechi
tatu na kupigwa faini ya sh. 500,000 kwa kushusha bukta yake na kumlalamikia
mwamuzi msaidizi wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), kati ya timu
yake na Kagera Sugar iliyochezwa Januari 26 mwaka huu Uwanja wa Azam Complex
ulioko Chamazi, Dar es Salaam...
No comments:
Post a Comment