Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF), imepokea barua ya Serikali ikielezea uamuzi wa Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, ya Dk. Fenella Mukangara kutengua uamuzi wa Msajili wa
Klabu na Vyama vya Michezo nchini, kuidhinisha marekebisho ya Katiba ya TFF
toleo la 2012.
BODA BODA..
No comments:
Post a Comment