Sunday, February 24, 2013

Mtwara watoa masharti mazito

WANANCHI wa Mtwara wametoa masharti mazito wakiitaka serikali iyatekeleze kwanza kabla ya kuanza kuchimba gesi asili na kuisafirisha kwa njia ya bomba kwenda eneo Kinyerezi jijini Dar es Salaam.

ZAIDI BODA BODA..


No comments: