Wednesday, April 11, 2012

Wednesday, April 11, 2012

EXCLUSIVE: MAMA MZAZI WA LULU AONGEA - AOMBA SUALA LA KESI YA MWANAE IACHIWE MAHAKAMA

IKIWA NI MASAA TANGU STEVEN KANUMBA AZIKWE, MAMA WA LULU AMBAYE ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUHUTUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA  MSANII HUYO, AMEONGEA NA JOYCE KIRIA KUPITIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE NA  KUSEMA KUWA ANA MASIKITIKO NA MSIBA WA KANUMBA AMBAYE ALIKUWA NI KAMA MWANAE NA KUMPA POLE MZAZI MWENZIE MAMA KANUMBA, NA AKAOMBA WATU NA VYOMBO VYA HABARI KUACHA KUHUKUMU NA KUEGAMIA UPANDE MMOJA, AKISEMA WALE WOTE NI WATOTO, NA ALIOMBA WANAHARAKATI WAMSADIE KATIKA MATATIZO HAYA KWA MWANAE.. NA KUSEMA HILI SUALA LIKO MAHAKAMANI NA IACHIWE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE NA WATU WAACHE KUHUKUMU.

BREAKING NEWS: LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MADAI KUMUUA KANUMBA

Siku Moja baada ya marehemu Steven Kanumba kuzikwa mtuhumiwa namba moja katika kifo cha Kanumba msanii wa filamu Elizabeth Maiko maarufu - Lulu afikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba.

Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea hapa

No comments: