Monday, October 31, 2016

Luaga Mpina awaongoza wakazi wa Shinyanga zoezi la usafi

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akiongea na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Shinyaga katika eneo la Binzanata baada ya kukamilisha zoezi la usafi wa mazingira na kupanda miti mapema leo. ( Picha zote na Evelyn Mkokoi wa OMR).


Katikati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, Kushoto Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiru,  na Bwana Daniel Sagata Pamoja wakijiandaa kuanza zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Binzatana Mjini Shinyanga mapema leo.


Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luahaga Mpina akishiriki katika zoezi la kupanda miti Mjini Shinyanga leo.


Viongozi pamoja na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Shinyanga katka zoezi la usafi wa mazingira mjini Shinyanga leo.


No comments: