Wednesday, November 2, 2016

Ndanda FC waibukia kwa Prisons kujiongezea Point VPL.

Wachezaji wa Ndanda FC wakimpongeza Riphati Khamisi baada ya kufunga bao pekee katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Prisons ya Mbeya katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara. Ndanda ilishinda kwa bao 1-0.

Kikosi cha Ndanda FC kilichoanza katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Prisons ya Mbeya katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara. Ndanda ilishinda kwa bao 1-0.


Kikosi cha Prisons kilichoanza katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara. Ndanda ilishinda kwa bao 1-0.


Mshambuliaji wa Ndanda FC Riphati Khamis akimiliki mpira dhidi ya mchezaji wa Prisons katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara  katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara. Ndanda ilishinda kwa bao 1-0.



Pongezi Riphati


No comments: