Rejea taarifa tuliyotuma muda mchache uliopita. Mechi za
raundi ya 20 za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zitaendelea kama kawaida kwa sababu
baadhi ya timu zinazocheza ugenini tayari zipo safarini.
Hivyo mechi ambazo zimesimamishwa kusubiri Polisi Mara
icheze mechi zake za viporo ni za raundi ya 21 na 22.
Kumradhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa mawasiliano
yaliyofanywa awali.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
No comments:
Post a Comment