Friday, July 6, 2012

VIGINIA NDIYE MISS VYUO 2012

MSOMI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku huu ameibuka Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Club Maisha, Dar es Salaam. Katika shindano hilo, ambalo majaji wake walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania, Fatuma Ramadhani wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya pili na Fina Recatus wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alikuwa wa tatu.
Aidha, Jane Maluli alikuwa wa IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii alikuwa wa tano. Pichani ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa pili Fatuma na kulia mshindi wa tatu Fina.


Renatha Richard katika vazi la ufukweni


Theresia Isaya


Migeshi Boniface


Viginia katika vazi la ufukweni


Fatuma Ramadhani vaizi la zufukweni
4-0


Niko n a toto, Miss Dar Indian Ocean


Miss Dar Indian Ocean 2012


Washindi
Majaji
Bob Junoior akitumbuiza




Wapenzi


Viginia


Warembo wakicheza shoo


Warembo wakichezsa shoo ya ufunguzi


Din Ismajl alikuwepo


Dj akifanya vitu vyake


Marafiki

No comments: