Thursday, July 12, 2012

MECHI INAENDELEA IKIWA NI KIPINDI CHA PILI SASA SIMBA NA AZAM 1-1

Fainali ya Kombe la Urafiki ni mapumziko Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 1-1. Felix Sunzu alitangulia kuifungia Simba dakika ya 29 na Hamisi Mcha ‘Vialli’ akasawazisha dakika ya 45 na ushei. Pichani wachezaji wa Simba wakimpongeza Sunzu (10) baada ya kufunga.

Aggre Morris wa kwanza kushoto, John Bocco wakimpongeza Viallli (wa pili kushoto) kufunga la kusawazisha

Kikosi kilichoanza Azam

Kikosi kilichoanza Simba

No comments: