Monday, June 4, 2012

EDIN HAZARD RASMI SASA NDANI YA THE BLUES













Baada ya wiki moja iliyopita kutangaza kuwa atajiunga na klabu ya Chelsea ya England,kiungo Edin Hazard mwenye umri wa miaka 21 hii leo amethibitisha kuwa ni mchezaji wa The Blues baada ya kufuzu vipimo vya afya,na kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa kwa ada kubwa katika klabu ya Chelsea ya Euro Million 32,baada ya Fernando Torres aliyesajiliwa na klabu hiyo kwa Euro Million 50.

No comments: