Sunday, May 20, 2012

ANTHONY MTAKA MWENYEKITI MPYA RT

Uchaguzi wa chama cha riadha Tanzania (RT),umemalizika jana usiku huko Mkoani Morogoro na kushuudia bwana Anthony Mtaka akiibuka kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Viongozi wengine waliopatikana jana ni William Karage ambae ni makamu mwenyekiti wakwanza na Hamza Ndee ambae ni makamu mwenyekiti wa pili.
Suleimani Nyambui ameendelea kubaki katika nafasi yake ya katibu wa chama hicho,huku msaidizi wake akiwa ni Ombeni Zavara.
HABARI KAMILI INAFUATA.......

No comments: