WANANCHI WOTE WA MJI WA MASASI PAMOJA NA WAPENZI WA MICHEZO MNAALIKWA KUHUDHURIA MCHEZO WA KIRAFIKI KATI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI NA WALE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA.
MICHEZO ITAKAYOHUSIKA SIKU HIYO NI PAMOJA NA MPIRA WA MIGUU, MIKONO PAMOJA NA MBIO NA KUVUTA KAMBA.
MECHI HIYO ITAFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 18/03/2016KUANZIA SAA 10:00 JIONI UWANJA WA BOMA MJINI MASASI.
AIDHA WACHEZAJI NA MASHABIKI WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI MNATAKIWA KUHUDHURIA MAZOEZI AMBAYO TAYARI YAMESHAANZA SIKU KADHAA ZILIZOPITA.
MAZOEZI HAYA YANAFANYIKA KILA SIKU KUANZIA SAA 11. 00 JIONI UWANJA WA BOMA.
KUMBUKA MICHEZO HUJENGA AFYA, KUBURUDISHA PAMOJA NA KUIMARISHA “MAHUSIANO” MIONGONI MWA WANAMICHEZO.
KIINGILIO NI MACHO NA MIGUU YAKO.
WOTE MNAKARIBISHWAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Adolfina Hamis,
Ofisa Michezo Halmashauri ya mji,
MASASI.
15/03/2016.
No comments:
Post a Comment