Thursday, November 9, 2017
WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MADIMBA HATARINI KUPATA MAGONJWA YA MLIPUKO
Wakati
serikali ikiwa katika kampeni ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira ijulikanayo
kama NIPO TAYARI inayoambatana na uhamasishaji wa kuwa na Vyoo Bora, huko
katika shule ya msingi Madimba mkoani Mtwara, wanafunzi wako hatarini kuugua
magonjwa ya mlipuko kutokana na ukosefu wa kuwa na choo bora cha shule.
Tazama Video hii>>>
I'm a Blogger, and News Reporter at East Africa Radio and Nipashe-News Paper. Available in Mtwara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment