Friday, January 1, 2016

PICHAZ-Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Nangwanda Sijaon-Mtwara, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ndanda na Simba

Hali ilivyo nje ya uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara ikiwa ni bado saa chache kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Ndanda Sc na Simba Sc.


Ujasiliamali pia unaendelea hapa nje ya uwanja wa Nangwanda Sijaon, watu wanauza na kununua jezi za timu mbalimbali lakini zaidi ni za Simba ambazo ndizo zinaonekana kwa wingi lakini pia hata za Ndanda zipo.


jezi zikisubiri wanunuzi


Baadhi ya wakazi wa mjini Mtwara wakiwa katika harakati nje ya uwanja wa Nangwanda Sijaona-mechi itaanza saa 10:00 jioni



Nje ya uwanja wa Nangwanda




Add caption

Mwandishi wa News Room, Juma Mohamed, akiwa na mdhamini wa Simba, mzee Hassan Dalali.


No comments: