Wednesday, June 1, 2016

PICHAZ-Kiongozi wa mbio za Mwenge akikagua bidhaa za asili Mikindani.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, George Mbijima, akiangalia bidhaa mbalimbali za asili kutoka kwa mfanya biashara hizo anayefahamika kwa jina la Ayayoru (Sisi kwa Sisi) mkazi wa manispaa ya Mtwara Mikindani.

Bidhaa za asili zilizobuniwa kwa ujuzi wa hali ya juu na wachonga vinyago kutoka sehemu mbalimbali kusini.

Ayayoru akiwa na msaidizi wake, ofisini kwake, mtaa wa Skoya, Mtwara.

Ayayoru akiweka pozi mbele ya duka lake la bidhaa za asili lililopo mtaa wa Skoya kata ya Vigaeni, manispaa ya Mtwara.

No comments: