Friday, July 4, 2014

Young Africans Sports Club


Wapenzi wa Yanga SC na wanachama, leo siku ya ijumaa jioni mnakaribishwa kutazama mechi bure kati ya
Brazil Vs Colombia
Ufaransa Vs Ujerumani
katika kumbi za Sinema Quality Center, pia mtapata fursa ya kujiandikisha kadi mpya za uanachama kutoka Benki ya Posta na kuonana na kocha Marcio Maximo na wasanii kutoka kundi la Ze Comedy.
 
SOURCE: Young Africans Sports Club

No comments: