Tuesday, May 29, 2012

Tuesday, May 29, 2012

UTAFITI RASMI: MANCHESTER UNITED NDIO TIMU YENYE MASHABIKI WENGI DUNIANI -WAPO MILLIONI 659


No wonder ndio timu ambayo ikishinda mjini kunakuwa na kelele sana

Man United ndio Klabu inayopendwa zaidi Duniani kote!
Kufuatia utafiti uliofanywa na Wakala wa Utafiti wa Masoko, Kantar, ambao ni moja wa vinara wa fani hiyo, uliofanywa katika Nchi 39, Manchester United ndio imetangazwa kuwa ni Klabu ya Soka inayoongoza Duniani kwa kupendwa baada ya kubainishwa na Mashabiki Milioni 659 katika utafiti huo kuwa ndio Klabu wanayoipenda.
Hivi karibuni, Mtandao wa Forbes, ambao ni Magwiji wa masuala ya Biashara na Fedha Duniani, waliitangaza Man United kuwa ndio Klabu yenye thamani, kifedha, kupita Klabu yeyote Duniani.
Manchester United ina Mashabiki Milioni 659 Duniani kote:
- Milioni 71 Marekani
- Milioni 90 Ulaya
- Milioni 173 Afrika na Mashariki ya Kati
- Milioni 325 Asia

MARIO 'KICHAA' BALOTELLI KUONGOZA MASHAMBULIZI YA ITALIA EURO 2012 - AITWA NDANI YA KIKOSI CHA AZURRI


KIKOSI CHA ITALIA KWA AJILI YA EURO 2012
GOALKEEPERS
Gianluigi Buffon Juventus Morgan De Sanctis Napoli
Salvatore Sirigu Paris Saint-Germain
DEFENDERS
Ignazio Abate AC Milan Federico Balzaretti Palermo
Andrea Barzagli Juventus Leonardo Bonucci Juventus
Giorgio Chiellini Juventus Christian Maggio Napoli
Angelo Ogbonna Torino
MIDFIELDERS
Daniele De Rossi Roma Alessandro Diamanti Bologna
Emanuele Giaccherini Juventus Claudio Marchisio Juventus
Riccardo Montolivo Fiorentina Thiago Motta Paris Saint-Germain
Antonio Nocerino AC Milan Andrea Pirlo Juventus
FORWARDS
Mario Balotelli Manchester City Fabio Borini Roma
Antonio Cassano AC Milan Antonio Di Natale Udinese
Sebastian Giovinco Parma

No comments: