Wednesday, September 9, 2015

Ofisi ya kijiji cha Mailikumi, Mtwara vijijini katika picha...

Jengo la ofisi ya kijiji cha Mailikumi, Mtwara vijijini ambalo linategemewa kutumika katika zoezi la uchaguzi mwezi Oktoba mwaka huu.

Jengo la ofisi ya kijiji cha Mailikumi, Mtwara vijijini ambalo linategemewa kutumika katika zoezi la uchaguzi mwezi Oktoba mwaka huu.

Kabati, ndani ya ofisi ya kijiji cha Mailikumi, Mtwara vijijini 

Meza ya mwenyekiti wa kijiji cha Mailikumi

Ubao wa matangazo

Mwenyekiti wa kijiji cha Mailikumi, Saidi Salum 'Mchemeko', akiwa ndani ya ofisi yake. 

No comments: