Wednesday, June 17, 2015

LOWASSA: NIMECHOSHWA NA UMASIKINI



Edward Lowassa, akipokea orodha ya wadhamini, Mtwara.
Edward Lowassa, akiwahutubia wakazi wa Mtwara.


Na Juma Mohamed, Mtwara
WAZIRI mkuu wa zamani, Mhe. Edward Lowassa, amesema ameamua kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwasababu amechoshwa na umasikini uliopo hapa nchini.
Ameyaasema hayo leo mkoani hapa wakati alipokuja kuomba wadhamini katika safari yake ya matumaini ambapo jumla ya wadhani 3,500 walijitokeza.

Edward Lowassa, akisalimiana na wakazi wa Mtwara.


 Aidha, amesema uwekezaji unaofanyika sasa mkoani Mtwara na kampuni kutoka nje ya nchi ni kutokana na amani iliyopo ndani ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Wamasai wanaoishi mkoani Mtwara, wakiwa wamepandisha mori na kuruka kwa furaha, baada ya kumuona Mhe. Edward Lowassa.

Wamasai wanaoishi mkoani Mtwara, wakiwa wamepandisha mori na kuruka kwa furaha, baada ya kumuona Mhe. Edward Lowassa.
 

No comments: