Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya
Mawasiliano(TRCA)Walter Bugoya akitoa tamko la kuzifungia Redio Imani
na Redio Kwa Neema kwa kipindi cha miezi 6 kutokana kutangaza matangazo
yanayodaiwa kuwa ya kichochezi jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni
Mkurungenzi wa Idara ya Habrio Maelezo Arthur Mwambene na Kaimu
Mkurugenzi wav Utangazaji wa (TRCA)Andrew Kisaka.Picha na Fidellis
Felix
Tuesday, February 26, 2013
TCRA yafungia vituo viwili vya redio nchini..#BODA BODA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment