Tuesday, February 26, 2013

Mizengo Pinda aponda wanaoibeza tume yake kuchunguza matokeo..#BODA BODA..

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda 

“Wengine wanasema tume zipo nyingi, si kweli kwamba zipo nyingi na hazifanyi kazi, kila mtu ana mawazo yake, jambo hili ni kubwa na lazima lishughulikiwe kwa ukubwa wake,”alisema Pinda

No comments: