Sunday, September 9, 2012

KRIS KATONGO AITUNGUA THE CRANES LAKINI KAZI IPO NAMBOOLE

 



NI kimbembe kwa timu za Afrika kuwania nafasi 15 za kuungana na wenyeji Afrika Kusini kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani.

Uganda, The Cranes ikiongozwa na washambuliaji wawili wanaocheza Tanzania, Hamisi Kiiza wa Yanga na Emanuel Okwi wa Simba ilifungwa bao 1-0 jana na Zambia mjini Lusaka.
Tazama matokeo kamili ya mechi za jana na ratiba ya mechi za leo.

Jumamosi
15:00 Zambia 1-0 Uganda
16:00 Central African Republic 1-0 Burkina Faso
16:30 Gabon 1-0 Togo
17:00 Ghana 2-0 Malawi
18:30 Sierra Leone 2-2 Tunisia
19:00 Mali 3-0 Botswana
19:00 Cape Verde Islands 2-0 Cameroon
19:00 Sudan 5-3 Ethiopia
19:00 Ivory Coast4-2 Senegal
20:00 Liberia 2-2 Nigeria

Ratiba leo Jumapili
Saa 10:00 jioni Zimbabwe v Angola
Saa 10:00 jioni Mozambique v Morocco
Saa 2:00 usiku Guinea v Niger
Saa 2:00 usiku Libya v Algeria

No comments: