Wednesday, June 6, 2018

WAHASIBU NA WAWEKA HAZINA WA HALMASHAURI MTWARA NA LINDI WAIVA KIMABADILIKO YA MFUMO WA EPICOR 10.2

Siku Nne za kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri za mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) hatimae zinakamilika leo huku watumishi hao wakiwa wameiva kwa masomo waliyopewa na wawezeshaji kutoka TAMISEMI.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), wakielekezana jambo ikiwa ni sehemu ya somo la mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Afisa Utawala wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Fina Maziku, akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake ya kiutawala, katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), yanayoendeshwa na PS3 nmkoani Mtwara kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID. 

Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Hamis Mahmoud, (aliyesimama) akisimamia wanafunzi wake ambao ni Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri za mikoa ya Mtwara na Lindi, wanaojengewa uwezo juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), yanayoendeshwa na PS3 mkoani Mtwara kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), wakielekezana jambo ikiwa ni sehemu ya somo la mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Kiongozi wa timu ya rasilimali fedha kutoka katika mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 unafadhiliwa na shirika la USAID, Dokta Gemini Mtei, akitekeleza majukumu yake katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2).

Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Hamis Mahmoud, akiwaelekeza jambo wanafunzi wake ambao ni Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri za mikoa ya Mtwara na Lindi, wanaojengewa uwezo juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), yanayoendeshwa na PS3 mkoani Mtwara kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), wakielekezana jambo ikiwa ni sehemu ya somo la mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri ya mikoa ya Mtwara na Lindi, juu ya juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), wakielekezana jambo ikiwa ni sehemu ya somo la mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Wakwanza kulia ni afisa usimamizi wa fedha kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI James Bukumbi, akiwaelekeza jambo wanafunzi wake ambao ni Wahasibu na Waweka hazina wa halmashauri za mikoa ya Mtwara na Lindi, wanaojengewa uwezo juu ya mabadiliko ya mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2), yanayoendeshwa na PS3 mkoani Mtwara kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

No comments: